ELON MUSK: BINADAMU WA AJABU ANAYEISUMBUA DUNIA KUTOKANA NA UWEZO MKUBWA WA AKILI ALIONAO..
Siku chache zilizopita, tajiri namba moja duniani, Elon Musk hatimaye alifanikisha dili lake la nguvu la kuununua mtandao wa kijamii wa Twitter kwa dau la dola za Kimarekani dola bilioni 44 pamoja na kununua kila hisa kwa dau la dola 54.20.
Dili hilo kubwa limeushangaza ulimwengu kutokana na jinsi Elon Musk alivyopigania mipango yake ya kuununua mtandao huo maarufu duniani na hatimaye kufanikisha katika muda ambao hakuna aliyekuwa anaamini kwamba anaweza kufanya hivyo.
Na katika kuyonesha jeuri ya fedha, Musk amejitapa kwamba amefanya malipo yote kwa fedha taslimu! Ama kwa hakika fedha imeongea.
Suala la Elon Musk kuununua mtandao huo, lilianza kama masihara, watu wengi wakawa wanambeza kwamba hana ubavu huo lakini baada ya kutangaza dau mezani, viongozi wa bodi ya menejimenti ya mtandao huo uliamua akulichukulia suala hilo kwa uzito wa kipekee.
Dau lililotangazwa lilikuwa kubwa mno kiasi kwamba kulikataa ingeonekana ni mawazo ya kijuha, Elon Musk akafanikiwa kupenyeza rupia kwenye uzia na hatimaye, Twitter sasa ni mali yake.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Asumbui chochote huyu ni binaadamu wa kawaida tu hana cha ajabu. Wapo walogundua vitu vingi kabla yake na watao gundua baada yake. Msitupandikize akili za kimagharibi kila siku fujo
Mwisho wasiku atakufa tu
Hilo la kusema ndoto zake zilikuwa nikisoma marekani ni propaganda za wamarekani ili wampe uraia
Hajanifikia mm njoo mpime IQ yangu
Tarixo fund
Asaidie kuimaliza vita hii!
Safi sana
Utajiri hauna rangi, jinsia wala umri👌👌
Angelina Tanzania angekuwa na kesi ya kuhujumu uchumi bila dhamana
Jamaa ana akili sana, amesema kama kitakuwa na uwekezaji kiutafiti wa ki DNA/NRA Kuna uwezekana wa kuondoa kuzeeka au kumrudisha mtu aliyezeeka kwenye ujana. Imagine that. 😂😂😂
Waafrika wakifanya maajabu mnasema wanatoka sayari nyingine,,, na waafrika wapumbavu wanakubali,,, pigen kelele,, HUYU NI MUAFRIKA ANAEISUMBUA DUNIA
AMEZALIWA AFRICA
Elon musk ni Business genius!
Uhuni tu ya waafrica Mbona mwanamalundi amefanya mengi lakini tunamwita mchawi mmm Lakini mzungu anaakili nyingi daaa😭😭😭
sio kuwa ana akili nyingi sana kuliko binadamu wote,sema ana hela nyingi yakuweka katika maeneo yanayotumia akili.kumbuka hata hivyo hizo kazi zenyewe hafanyi pekeake.
No 2
Acha kuiga sauti/ utangazaji wa mtu mwingine…
Watu wameenda mwezini kabla hajazaliwa
Genius
Unasema ana akili kuliko binadamu wote kwasasa,je lini mlinipima mimi uwezo wa akili zangu? Acha hizo
Huo ubilionea wake angekuwa tz uncle magu angetaifisha bila kujali madhara yake na bila kujali uhalali wa pesa zake
ubilione sio rangi wala bara acha kujinyanyasa kila mtu anaweza kama atawekeza kujifunza
Kipanya pia katengeneza gari ya umeme. Hamumuoni?
Hana akili kushinda wote asinge nunua mtandao wa twitter angeunda mtandao wake wakitofaut ili awapiku wote
Kama kweli ana akili aje Zanzibar kucheza draft aone atakavo fungwa
Ni pepo huyo
Uongo sio kweli kuwa anaakili kuliko watu wote, wako watu siyo huyo kikaragosi
Sisi wenye akili ndogo tunauliza je izo rocket faida yake ni nini maana atuelewi uku
Uo utani wako umeharibu yote mazuri uliyoeleza awali, mbwembwe zikizidi huishia kuharibu
Mtangazaji hapo umemkufuru Mungu.Aitatokea hata siku moja binaadamu abadiri mwenendo wa jua.Eti litokee maharibi na lizame mashariki!!!